Rais Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 11 vilivyotokea leo jioni mkoani Mbeya katika ajali ya barabarani baada ya lori lililokuwa na shehena ya viazi kuyagonga magari matano likiwemo basi dogo lililokuwa na abiria
Share To:

Anonymous

Post A Comment: