Monday, 3 September 2018

Mwonekano mpya wa Diamond Platnumz baada ya kusuka

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul a.k.a Diamond Plutnumz ameibuka na mwonekano mpya wa nywele baada ya kusuka.

Hii imekuwa ni mara ya tatu ya msanii huyo kuonekana na mwonekano mpya kichwanii baada ya mwonekano wa kwanza uolikuwa kwenye nyimbo yake na Rayvan ya Salome.
Katika nyimbo Rockonolo aliyoshirikishwa na Lumina alionekana pia na mwonekano mwingine wa nywele akiwa amesuka,lakini huu ni mwanekano mwingine kichwani wa Diamond Platnumz...
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: