Monday, 17 September 2018

MWENGE WA UHURU WATUA ARUMERU : MGUU SAWA KWA MAENDELEO YA JAMII

Mkuu wa wilaya ya Longido Mh. Frank  Mwaisumbe akimkabidhi Mwenge wa uhuru mkuu wa wilaya ya Arumeru Mh. Jerry Cornel Muro kwa ajili ya kuendelea na majukumu ya mwenge wilayani humo.
kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Taifa 2018 Ndg:Charles Kabeho akizundua mradi wa ufugaji wa nyuki katika kata ya Oldonyosambu katika kijiji Cha Lemanda wilayani Arumeru.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Ndg. Charles Francis Kabeho akizindua mabarasa katika


Katikati ni kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Taifa 2018 Ndg:Charles Kabeho akizundua mradi wa Maji  wa Teknolojia
 ( Mpya ya e - Water Pay )


Muonekano wa moja ya mradi wa maji uliozinduliwa na kiongozi wa mbio za Mwenge.

No comments:

Post a Comment