Tuesday, 4 September 2018

MHE MABULA ANAWATAKIA MTIHANI MWEMA DARASA LA SABA


Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe. Stanislaus Mabula, anawatakia kheri na baraka wanafunzi Wote wa darasa la saba wilaya yetu pamoja na nchi nzima, wanaotarajia kuanza mitihani ya kitaifa hapo kesho, ili kufuzu elimu ya msingi.

Nimaombi yangu Mungu awapatie neema ya kuwawezesha utulivu na uchaji katika kumbukumbuku stahiki za masomo kipindi chote cha mitihani, ili tupate ufahuru mzuri Mhe. Mabula

Imetolewa na
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Nyamagana🇹🇿💪🏽
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: