Shirikisho la Soka nchini TFF limemtangaza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dk.Reginald Mengi kuwa mlezi wa Timu ya Taifa ya vijana Serengeti Boys.

Utambulisho maalum utafanywa siku itakayotangazwa na TFF.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: