Watu zaidi ya watano wamefariki baada Magari manne kugongana katika mteremko wa Igawilo mkoani Mbeya. Inaelezwa kuwa Lori lililokuwa linatoka Rungwe kwenda Mbeya Mjini lilifeli breki na kuigonga Hiace ambapo ilipoteza mwelekeo na kuyagonga magari ya mbele yake.
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na idadi hiyo ya vifo.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: