Friday, 7 September 2018

Breaking : Magari Manne Yagongana na kuua watu 11 Mbeya


Watu 11 wamefariki baada Magari manne kugongana katika mteremko wa Igawilo mkoani Mbeya.

 Inaelezwa kuwa Lori lililokuwa linatoka Rungwe kwenda Mbeya Mjini lilifeli breki na kuigonga Hiace ambapo ilipoteza mwelekeo na kuyagonga magari ya mbele yake.

Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: