Monday, 6 August 2018

Ridhiwani Kikwete Akabidhiwa Jezi za Mil. 7
Kampuni ya Sayona imemkabidhi jezi seti 60 mbunge wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete kwa ajili ya ligi ya Jimbo Cup zilizogharimu kiasi cha shilingi million 7.2. Makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi ya kampuni hiyo zilizoko katika kijiji cha Mboga, Chalinze.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: