Monday, 13 August 2018

Prof. Chiza (CCM) ashinda Ubunge Buyungu

 ALIYEKUWA mgombea Ubunge wa Jimbo la Buyungu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Prof. Christopher Chiza ameibuka mshindi katika matokeo ya jumla ya uchaguzi wa Ubunge wa jimbo hilo uliofanyika jana, Jumapili, Agosti 12, 2018 huku akimburuza mpinzani wake, Elia Michael wa Chadema.

No comments:

Post a Comment