Tuesday, 21 August 2018

Jimboni kwa Mbowe Hali si shwari Diwani mwingine wa Chadema Ajiunga na Ccm


Diwani wa Msama  Rundugai kupitia (Chadema), Ndg. Elibariki Lukas Mbise  ameandika barua ya kujiuzulu udiwani na kujiunga na cham chama Mapinduzi CCM kwa maelezo kwamba anamuunga mkono Rais John Magufuli.

Mbise ni diwani wa tatu katika Halmashauri ya Hai kujiuzulu kwa kwa kipindi cha wiki mbili sasa kwa kutoa sababu kuwa anamuunga mkono Rais Magufuli.

Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, amethibitisha leo (August 21 ) kupata taarifa za kujiuzulu kwa Mbise.

No comments:

Post a comment