Mkuu Wa Operesheni Maalum za Jeshi La Polisi, Naibu Kamishna (DCP) Liberates Sabas, akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kijiji cha Nyamayinza, Tarafa ya Inonelwa, Kata Gulumangu ya, Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza kuhusu kushirikiana na Jeshi la Polisi kwaajili ya  kukabiliana na mauaji ya wanawake yanayotokana na imani za kishirikina yaliyotokea maeneo hayo siku za hivi karibuni.

Mkuu Wa Operesheni Maalum za Jeshi La Polisi, Naibu Kamishna (DCP) Liberates Sabas, akizungumza na viongozi wa serikali za Mtaa na Kata katika Kijiji cha Lubili, Kata ya Lubili,Tarafa ya Mbarika wilayani Misungwi Mkoa wa Mwanza kuhusu kushirikiana na Jeshi la Polisi kwaajili ya kukabiliana na mauaji ya wanawake yanayotokana na imani za kishirikina yaliyotokea maeneo hayo siku za hivi karibuni. (Picha na Jeshi la Polisi).
Mkuu Wa Operesheni Maalum za Jeshi La Polisi, Naibu Kamishna (DCP) Liberates Sabas, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali za Mtaa na Kata katika Kijiji cha Lubili, Kata ya Lubili, Tarafa ya Mbarika wilayani Misungwi Mkoa wa Mwanza baada ya kumaliza kikao.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: