Friday, 3 August 2018

BREAKING NEWS:WAZIRI KIGWANGALA APATA AJALI MMOJA APOTEZA MAISHA

Waziri wa maliasili na utalii Dr.Hamis Kigwangalla amepata ajali ya gari katika eneo la magugu mkoani Manyara akiwa anatokea mkoani Arusha,mtu mmoja amefariki katika ajali hiyo huku waziri kigwangalla akielezwa kulazwa katika kituo cha afya Magugu

''Za Asubuhi Wapendwa  Mh.Kigwangwala amepata ajali sasa Hivi akitokea Arusha kabla ya Magugu na Mtu moja kapoteza Maisha.Mh Kigwangwala Yupo kituo cha Magugu hali siyo Nzuri anahitaji Msaada jamani Flatei Massay mbunge Wa mbulu vijijini ''


Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: