Monday, 27 August 2018

Alichokisema Ommy Dimpoz Baada ya Kurudishwa Tena Hospitalini Afrika Kusini

 Baada ya dua nyingi kutoka kwa wasanii ndugu jamaa na marafiki wa Msanii Omary Nyembo alimaarufu Ommy Dimpoz,ambaye yuko nchini Afrika ya kusini kwa ajili ya matibabu, jana jumapili  ametoa taarifa juu ya hali yake ya kiafya.

Msanii huyo ameamua kutoa taarifa kupitia Insta story yake kwa kile kilichopelekea mashabiki na watu wote kutaka kujua maendeleo ya kipenzi chao Ommy Dimpoz kwani zilisambaa taarifa kuwa yuko mahututi na yupo kwenye chumba maalumu cha (ICU).
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: