Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro waakimkabidhi zawadi ya fedha mwanafunzi wa Shule ya Msingi Ingri Juu Wilayani Rorya baada ya kujibu swali wakati alipokuwa akiwasili wilayani hapo kuendelea na  Ziara yake ya kubaini changamoto za uhalifu na kuzipatia ufumbuzi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mhe Simon Chacha wakiwa katika picha ya pamoja na Maofisa, Wakaguzi na askari wa Mkoa wa Kipolisi wa Tarime/Rorya baada ya kuzungumza nao wakati alipokuwa akiendelea na Ziara yake ya kubaini changamoto za uhalifu na kuzipatia ufumbuzi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. (Picha na Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akikagua boti za Polisi zilizopo katika kituo cha Polisi wanamaji Sota Wilayani Rorya alipokuwa akiendelea na Ziara yake ya kubaini changamoto za uhalifu na kuzipatia ufumbuzi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. (Picha na Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akimsikiliza Mwenyekiti wa Kijiji cha Sota Wilayani Rorya mkoani Mara Ramadhani Said wakati wa Ziara yake ya kubaini changamoto za uhalifu na kuzipatia ufumbuzi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mhe Simon Chacha na Kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya  SACP Henry Mwaibambe 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Wakazi wa Kiabakari Wilaya ya Butiama mkoani Mara wakati wa Ziara yake ya kubaini changamoto za uhalifu na kuzipatia ufumbuzi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Picha na Jesho la Polisi.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: