Tume Ya Uchaguzi Yamuaga Aliyekuwa Mkurugenzi Wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani - MSUMBA NEWS BLOG

Thursday, 5 July 2018

Tume Ya Uchaguzi Yamuaga Aliyekuwa Mkurugenzi Wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage (kulia) akimkabidhi ua aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani ikiwa ni ishara ya kumuaga na kumtakia kila la kheri katika kutekeleza majukumu ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage (kulia) akimkabidhi ua aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani ikiwa ni ishara ya kumuaga na kumtakia kila la kheri katika kutekeleza majukumu ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Kushoto ni Mkurugenzi mpya wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia.

Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done