Monday, 9 July 2018

Rais wa Real Madrid, Florentino Perez aisaka saini ya Eden Hazard kwa udi na uvumba

Rais wa Real Madrid, Florentino Perez ahaha kuisaka saini ya mchezaji wa timu ya taifa ya Ubelgiji, Eden Hazard mipango inayoonekana kwendana sawa na aliyekuwa kocha wa klabu hiyo, Zinedine Zidane.
Wakati aliyekuwa kocha wa Madrid, Zinedine Zidane akitangaza kuachana na timu hiyo alisema kuwa bado, Florentino analisti ya jina la kiungo huyo wa Ubelgiji katika wachezaji wanaotarajiwa kutua Bernabeu.

No comments:

Post a Comment