Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg John Pombe Joseph Magufuli aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi kinachofanyika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam, leo tarehe 10th July, 2018.


Share To:

msumbanews

Post A Comment: