Sunday, 8 July 2018

Picha 7: Tazama wachezaji wa Brazil wakiwa kwenye nyuso zilizokosa furaha baada ya kipigo cha Ubelgiji

Wachezaji wa timu ya taifa ya Brazil wakiongozwa na Neymar. Philippe Coutinho wameonekana wakiwa kwenye nyuso zilizokosa furaha wakiwa wanaondoka kwenye hoteli waliyo kuwa wakikaa nchini Urusi.
Kikosi hicho cha Brazil kilipata kipigo cha mabao 2 – 1 kutoka kwa Ubelgiji mchezo wa robo fainali ya michuano ya kombe la dunia inayoendelea Urusi.

Neymar and his Brazil team-mates departed their team hotel in Kazan on Saturday afternoon

Neymar and Co appeared in a very glum mood as they made the journey back to Brazil

Philippe Coutinho was in no mood whatsoever to smile for the cameras in Kazan

Coutinho and Brazil were defeated 2-1 by Belgium in the World Cup quarter-finals

Thiago Silva puts his hands over his face as the cameras try to take a picture of him
Roberto Firmino gives the thumbs up to the cameras as the squad left their hotel in Kazan

No comments:

Post a Comment