Tuesday, 3 July 2018

Mwenyekiti UVCCM Arusha, Saitoti Zelothe azidi kuchanja mbuga

Mwenyekiti wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi ( Uvccm ) Mkoa wa Arusha Ndg.Saitoti Zelothe leo ameendelea na Ziara yake katika Wilaya ya Longido,Ambapo amekuatana na Vijana wa CCm,Viongozi wa Chama na Serikali na Atatembelea miradi mbalimbali ya Vijana na amepokea Taarifa kazi ya Ofisi ya Vijana Wilaya.
 Mwenyekiti wa Uvvcm Mkoa wa Arusha Ndg. Saitoti Zelothe Akisalimiana na Katibu Hamasa wa Wilaya ya Longido.
 Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji Mkoa wakikaribishwa katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi  Wilaya ya Longido.
Katibu Hamasa wa Mkoa wa Arusha Ndg. Omary Lumato Akipokelewa na Katibu wa UWT Wilaya .
Mjumbe wa Baraza kuu Uvccm Taifa kutoka Mko wa Arusha Bi. Lulu Mwacha Akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Longido. 
 Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji Mkoa wakimsikiliza kwa Makini Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wakati Akitoa maelekezo kwa Mwenyekiti wa Uvccm Wilaya ya Longido ( Hawapo pichani )
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Ndg. Said Abdul Said Akifuatilia mkutano kwa makini.

No comments:

Post a Comment