Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Jen. Mstaafu Davis Mwamunyange kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya  Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA).

Jen. Mstaafu Mwamunyange ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Mstaafu. Uteuzi wa Jen. Mwamunyange unaanza July 7, 2018.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: