Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la dengu lenye ukubwa wa ekari 10, mali ya Bw. Philipo Kapande  (kushoto) katika kijiji cha  Jomu kwenye Halmashauri ya  Msalala Julai 17, 2018. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la dengu lenye ukubwa wa ekari 10, mali ya Bw. Philipo Kapande  (wapili kushoto) katika kijiji cha  Jomu kwenye Halmashauri ya  Msalala Julai 17, 2018.  Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack. Na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Shinyanga, Mabala Mlolwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share To:

msumbanews

Post A Comment: