Mke wa mtangazaji wa Clouds Media, Ephraim Kibonde, Sarah hatimaye amezikwa kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Sarah Kibonde alifariki Julai 11, 2018 katika Hospital ya Hindu Mandal alipokuwa akipatiwa matibabu.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: