Sunday, 8 July 2018

LIVE: MAPOKEZI YA NDEGE MPYA BOEING 787-8 DREAMLINER, DAR

Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Julai 08, 2018 ataongoza mapokezi ya ndege mpya iliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kuimarisha Shirika la Ndege la Taifa (ATCL). Ndege hiyo itatua uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam saa 8:00 mchana.

No comments:

Post a Comment