Saturday, 14 July 2018

LIVE IKULU: RAIS AKIWAAPISHA KAMSHINA JENERALI WA MAGEREZA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, leo Julai 14, 2018 anamuapisha Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Martin Kasike. Tukio hilo linafanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Kabla ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na Dkt. Juma Alli Malewa, ambaye amestaafu Julai 06, 2018 , Kamishina Jenerali , Kasike, alikuwa Naibu Kamishna wa Magereza.

No comments:

Post a Comment