Monday, 9 July 2018

Breaking News: Vigogo watano wa KNCU wafikishwa Mahakamani

 Vigogo watano wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Kilimanjaro (KNCU) wakiwemo mwenyekiti wa sasa wa KNCU Aloyce Kitau na Mwenyekiti mstaafu wa KNCU ,Maynald Swai wamefikishwa muda huu katika viunga vya mahakama ya Hakimu mkazi,Moshi.

Wamo pia aliyekuwa Meneja wa TCCCo Andrew Kleruu, Meneja wa KNCU ,Honest Temba na Makamu mwenyekiti wa KNCU,Khatibu Mwanga.

HABARI ZAIDI TUTAWALETEA.

No comments:

Post a Comment