Monday, 2 July 2018

Breaking News : Mbunge Stephen Ngonyani "Maji Marefu" Afariki Dunia

Mbunge wa Korogwe Vijijini mkoani Tanga Stephen Ngonyani ' Profesa Maji Marefu' amefariki dunia leo usiku Jumatatu Julai 2,2018, Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umethibitisha.

No comments:

Post a Comment