Sunday, 8 July 2018

BREAKING NEWS: BASI LA DAR EXPRESS LATEKETEA KWA MOTO BUNJU


Basi la Kampuni ya Dar Express likitokea Arusha kwenda Dar es Salaam limeteketea kwa moto usiku huu wa Jumapili, Julai 8, 2018 katika maeneo ya Bunju Mwisho.
Aidha, chanzo cha moto huo hakijajulikana lakini kikosi cha zimamoto tayari kipo eneo la tukio kuhakikisha kinazima moto huo. Hakuna taarifa za majeruhi wala vifo vilivyoripotiwa kutokana na ajali hiyo

No comments:

Post a Comment