Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mondoli Mkoani Arusha kwa tiketi CHADEMA Mh. Julius Kalanga amejiuzulu na kujiunga na Chama cha Mapinduzi Ccm muda na kupokelewa na Katibu wa Itikadi na uenezi ndugu Humphrey Polepole.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: