Thursday, 7 June 2018

Tanzia : MSANII SAM WA UKWELI AFARIKI DUNIA

Usiku wa June 6, 2018 Muimbaji Sam wa Ukweli aliyevuma kwa wimbo wa'Hata kwetu wapo' amefariki dunia baada ya kuugua na mwili wake kupelekwa katika hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es salaam huku Producer wake Steve aliyekuwa akifanya kazi na Msanii huyo na amesema Sam alikuwa akiumwa na walipomuuliza alisema ni UKIMWI wa kulogwa.

No comments:

Post a Comment