Monday, 11 June 2018

Mpendwa Mfuatiliaji wa Blog hii Kutokana na notisi iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) leo Juni 10, 2018 inayotoa muda mfupi wa kututaka kusitisha utoaji huduma mara kabla ya Juni 11, 2018, tunalazimika kutii mamlaka na hivyo huduma hii haitapatikana kwa muda wakati tukifanya jitihada za kuhakikisha huduma inarejea. Imetolewa na Alex Malle Mkurugenzi Mtendaji wa Msumba News Blog

Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: