Diwani Mwingine wa Upinzani Ajiuzulu na Kujiunga na Ccm - MSUMBA NEWS BLOG

Thursday, 7 June 2018

Diwani Mwingine wa Upinzani Ajiuzulu na Kujiunga na Ccm


Aliyekuwa diwani wa kata ya kitaya katika Halmashauri ya Mji Nanyamba ndugu,Jamal Abdallah Kapende amejiuzulu udiwani na uanachama wa CUF na kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM.

Mpendwa msomaji wetu, tunakukumbusha Kuidownload Application yetu ya Msumba News ili upate habari zetu kwa wepesi zaidi kama vile Magazeti kuliko ilivyo sasa.


Tumekurahisishia; 
Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done