Katibu wa CCM Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, Ndg. Philipo Eliezah amefariki dunia katika Hospitali ya  Rufaa ya Dodoma. 

Mbunge wa Singida Magharibi  Mh: Elibariki Kingu Amedhibitisha kutokea kwa kifo hicho.
Mh: Kingu  amesema Philipo alifikwa na mauti hospitalini hapo alikopelekwa kwa matibabu ya upasuaji wa tumbo. 
Share To:

msumbanews

Post A Comment: