Thursday, 24 May 2018

Ronaldo akataa kufananishwa na Mohamed Salah

Joto la mechi ya fainali ya Champions League kati ya Liverpool ya Uingereza na Real Madrid ya Spain Jumamosi hii limaendelea kupamba moto, baada ya winga mwenye rekodi kubwa duniani kupitia michuano hiyo, Cristiano Ronaldo kukataa kufananishwa na winga wa majogoo wa London, Mohamed Salah.
Video Player
00:00
00:00
Akiongea na kituo kimoja cha runinga mapema leo, Ronaldo alisema sio vizuri kumfanisha yeye na winga huyo wa Liverpool kwani wako tofauti kabisa kwenye kila kitu.
“We are completely different. People want to compare me with other players but I’m different from everyone. He is completely different. He plays with the left, I play with the right. I’m tall he’s a little bit shorter, I play with the head.”
Aliongeza, “Salah is different but I have to say he has had a fantastic Champions League a fantastic league season, but Saturday, let’s see.”
Wawili hao watakutana katika fanali hiyo ya Champions League Jumamosi hii huku Salah akiwa na rekodi nzuri zaidi katika msimu huu

No comments:

Post a Comment