Mhadhiri wa Chuo cha Biashara katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Rose Mdenye ameuawa kwa madai ya kuchomwa kisu na mumewe usiku wa kuamkia leo Mei 26 kwa wivu wa mapenzi.

Akizungumza Ofisa Uhusiano wa Chuo hicho, Beatriece Mtenga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba taarifa zaidi zitatolewa baadaye.
Mtenga amesema msiba upo Kisasa Sheli.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: