Thursday, 3 May 2018

DKT. ABBAS AKUTANA NA WAANDISHI, WASOMI WA MAWASILIANO YA UMMA MKOANI MWANZA

1
Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan akiongea wakati wa kumkaribisha Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi kabla hajashiriki kipindi cha TUJADILIANE kilicho hudhuriwa na waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari vya kanda ya Ziwa, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza
22c
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akishiriki kipindi cha TUJADILIANE kinachoendeshwa na Doto Bullendu chenye lengo la kuhamasisha maendeleo katika nchi kwa kutumia vyombo vya Habari, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza
3
3b
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa  Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) pamoja na waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari vya kanda ya Ziwa, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza

Breaking News : Bonyeza hapa kusoma zaidi
4
Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan akimueleza jambo  Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi wakati wa ziara ya kikazi ya Dkt. Abbas, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza.
6
Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan akimuonesha  Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi bango lenye kuonesha majukumu ya klabu za waandishi wa habari nchini,Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza.
7
Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan akikabishi  Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi kalenda ya chama hicho,Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza.
810
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi  akiongea na wasomi wa Mawasiliano ya Umma wa Chuo cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza kuhusu Maadili ya Uandishi wa Habari na umuhimu wa uandishi katika kufuata weledi, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza. 
PICHA NA IDARA YA HABARI-MAELEZO

No comments:

Post a Comment