Rasmi klabu ya Singida United, imemtangaza mshambuliaji wake mpya Felipe Olveira do Santos raia wa Brazil.

Do Santos amewahi kukipiga katika klabu ya Asec Mimosa ya nchini Ivory Coast.

Kazi ya kumtangaza Mbrazil huyo imefanyika mjini Arusha, akiwa tayari kwa ajili ya michuano ya SportPesa Super Cup.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: