Friday, 11 May 2018

Breaking News : Mbunge wa Singida Apata Ajali


Habari zilizotufikia hivi punde zinasema Mbunge wa Viti maalum (CHADEMA), Jesca Kishoa amepata ajali mbaya ya gari asubuhi huko Dodoma

 Kwa sasa amefikishwa katika hospitali ya Bunge

Bonyeza hapa kusoma zaidi

No comments:

Post a comment