Kikosi cha Yanga kimeondoka asubuhi ya leo kuelekea Ethiopia kwa ajili ya mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Wolaitta Dicha FC.

Mchezo huo wa marudiano utapigwa Jumatano ya Aprili 18 2018 nchini humo.

Hawa hapa ni wachezaji walioondoka katika msafara wa leo 

Makipa, Youthe Rostand na Benno Kakolanya.

Mabeki ni Hassan Kessy, Juma Abdul, Haji Mwinyi, Gadiel Michael, Abdalah Shaibu, Kelvin Yondani na Nadir Haroub.

Viungo ni Raphael Daudi, Papy Tshishimbi, Pius Buswita, Said Juma, Thaban kamusoko, Yusuph Mhilu, Geofrey Mwashiuya na Emmanuel Martin.

Washambuliaji ni Obrey Chirwa, Juma Mahadhi na Yohana Mkomola.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: