Watu 17 wameripotiwa kuariki na wengine 44 kujeruhiwa vibaya  katika ajali iliotokea kwa makosa ya kibinadamu baada ya  dereva wa basi hilo kupoteza muelekea akijaribu kulikwepa lori lililokuwa likijielekeza katika upande wake.

Mkuu wa wilaya ya Narok  nchini Kenya  George  Natembeya amesema kuwa basi hilo lililofanya ajali  lilikuwa na abiria 63.

Miongoni mwa watu waliofarik katika ajali hiyo walikuemo watoto watatu.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: