Watu 10 wafariki baada ya nyumba kugongwa na gari na kuporomoka

Watu 10 wamaeafariki na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya gari kupoteza mualekeo na kugango nyumba katika mji wa Indore na kuporomoka.

Dereva wa gari hilo alipoteza muelekeo na kugonga kiguzo cha hoteli moja ambayo imefahamishwa kuwa ilijengwa takriban miaka 100 iliopita.

Harakati za kutafau watu waliojeruhiwa ambao wanashukiwa kuwa bado wamo katika mabaki ya nyumba hiyo zinaendelea. India majumba huporomoka  na kusababisha maafa kutokana na kutoheshimu sheria za ujenzi na kı-ujenga kiholela.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: