Kutoka ndani ya WCB, Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Kwangwaru ambao amemshirikisha mwanamuziki Diamond Platnumz.

Itazame video hiyo hapa chini;
Share To:

msumbanews

Post A Comment: