Monday, 16 April 2018

Ujumbe wa Rc Makonda na wengine katika birthday ya Lulu

Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Elizabeth Michael aka Lulu. Mastaa kibao wanampongeza muigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo gerezani akitumikia kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kumuua aliyekuwa muigizaji mwenzake Steven Kanumba bila kukusudia.
Lakini utaupenda zaidi ujumbe wa Wema Sepetu pamoja na Majay:
Wema Sepetu
Today your Celebrating your birthday away from home, away from your loved ones… Dats a feeling no one can bare with… But Inshallah baby, In our prayers you will Live… Nakupenda na Nakumiss… .
.
.
Happy Birthday Shikana Baby… @elizabethmichaelofficial @elizabethmichaelofficial @elizabethmichaelofficial @elizabethmichaelofficial
Riyama Ally
HAPPY BIRTHDAY MY TOTO MOLA AKUJAALIE KILA LENYE KHERI NA WEWE AKUEPUSHE NA SHARI AKUJAALIE KILA UMUOMBACHO AKUPE KWA WAKATI AMIN AKUEKEE NURU KTK KIZA KINENE AMIN WATANZANIA NA MASHABIKI ZAKO WA WAKWELI TUNAKUOMBEA NA TUPO PAMOJA NA WEWE KIMAWAZO PIA KIFIKRA TUNAKUPENDA SANA SHIKANA WETU @elizabethmichaelofficial HAPPY BIRTHDAY MY QUEEN 👑 🎂 🎉 🎊 🎁 💄 👜 👒 👡
Paul Makonda
Kumbe wanaokuombea mema wako wachache ila wenyenyuso za huzuni wako wengi japo hawamaanishi. Na kwakua Mungu ametenda basi watakuja tena na nyuso za furaha japo hazina mahusiano na mioyo yao. Kwakifupi hii ndiyo dunia ambayo Mungu amekuongezea tena mwaka wa kuishi. Happy birthday mwanangu
Majay
There are many days passing in life, but today is very important. First it explains that you are a very important person in your life, and second; You continue to be the most important person to me. You are a Woman and a half. I love you so much, Mama G. Happy birthday.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: