Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetangaza kuanza zoezi la usajili wa wamiliki wa Blogu, Majukwaa ya Mtandaoni (Online Forums), Redio pamoja na Televisheni za mtandaoni kuanzia leo Jumamosi Aprili 21, 2018.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: