Wednesday, 11 April 2018

Tazama picha za matukio mbalimbali yaliyojiri bungeni leo April 11, 2018

Leo April 11, 2018 katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaloendelea mjini Dodoma; Hizi ni baadhi ya picha ya yaliyojiri katika bunge hilo.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kushoto) akijadili jambo na Naibu Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso wakati wa kikao cha saba cha mkutano wa kumi na moja wa bunge la Tanzania leo mjini Dodoma

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza wakati wa kikao cha saba cha mkutano wa kumi na moja wa bunge la Tanzania leo mjini Dodoma

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akijibu maswali wakati wa kikao cha saba cha mkutano wa kumi na moja wa bunge la Tanzania leo mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment