Tanzia : Mama Mzazi wa Mrisho Gambo Afariki Dunia


Ninasikitika kuwataarifu kifo cha Bi Rehema Paulo Momburi mama mzazi wa Mkuu wa mkoa Arusha Bw. Mrisho Mashaka Gambo, kifo kimetokea usiku wa kuamkia leo 13/4/2018 Huko hospitali ya Madras Medical Mission Chenai India, mipango ya msiba mtajulishwa baadaye. Richard Kwitega ( RAS ARUSHA .)

Kupitia  Ukurasa wa Instagram  wa Mkuu wa Mkoa wa  Arusha Mrisho Gambo  Amepost kama inavyoonekana  hapo chini.

Mpendwa msomaji wetu, tunakukumbusha Kuidownload Application yetu ya Msumba News ili upate habari zetu kwa wepesi zaidi kama vile Magazeti kuliko ilivyo sasa.

Tumekurahisishia; 

Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: