Wednesday, 11 April 2018

Sumaye nae anatajwa kutelekeza Mtoto

Kufuatia agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwataka wanawake waliolekezewa watoto na waume zao kujitokeza ofisini kwake, mmoja wa akina mama alieffika anadai kutelekezwa na Ali Sumaye ambaye amezaa nae mtoto mmoja huku pia akimtishia maisha pamoja na kumdhulumu mali zake.

Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: