SPIKA NDUGAI AREJEA NCHINI AKITOKEA INDIA KWA MATIBABU


Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano, Job Ndugai amerejea nchini leo Aprili 3, 2018 akitokea India alikokuwa amekwenda kwa ajili ya matibabu.

Katika mapokezi  yake, Ndugai amelakiwa na Mke wa rais Mstaafu jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salama Kikwete.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: