Tuesday, 17 April 2018

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA MKUU WA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM)


 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Prof. Tadeo Satta (katikati) alieongozana na Dkt. Kadida Mashaushi (kulia) tarehe 17 Aprili, 2018 Ofisini kwake Mjini Dodoma. 
 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akikabidiwa zawadi kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Prof. Tadeo Satta (katikati) alieongozana na Dkt. Kadida Mashaushi (kulia) tarehe 17 Aprili, 2018 Ofisini kwake Mjini Dodoma. Mpendwa msomaji wetu, tunakukumbusha Kuidownload Application yetu ya Msumba News ili upate habari zetu kwa wepesi zaidi kama vile Magazeti kuliko ilivyo sasa.

Tumekurahisishia; 

Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: