Friday, 20 April 2018

Serikali yatolea ufafanuzi Tsh. Trilioni 1.5 zinazodaiwa kupotea

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Ashatu Kijaji amewasilisha bungeni, kauli ya serikali kuhusu hoja ya kutoonekana kwenye matumizi ya Serikali ya Tsh. Trilioni 1.51 ambazo zimekuwa zikidaiwa kupotea.

Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: