Serikali kujenga barabara za mwendo kasi - MSUMBA NEWS BLOG

Wednesday, 11 April 2018

Serikali kujenga barabara za mwendo kasi

Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jaffo ameeleza Bungeni Dodoma kuwa serikali itatekeleza ujenzi wa awamu ya pili na awamu tatu   ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (DART) kwa mwaka wa fedha 2018/2019

Waziri Jaffo amesema ..”Awamu ya pili ya ujenzi wa miundombinu ya DART itahusisha barabara za Kilwa, Kawawa, Sokoine, Gerezani, Bandari na Chang’ombe ambazo zina urefu wa Km 20.3 na itagharimu jumla ya Dola za Marekani Milioni 141.71”
Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done